Mbosso - Fall

[Intro]
Hey!
Lala lala lala lala
Aaaaaah eeeeh
(It's S2kizzy beiby)

[Verse 1]
Pendo limenizidia
Acha niseme niseme
Dozi imeniingia
Baby je t'aime, je t'aime
Hapo hapo shikilia
Mwaego ndo penye ndo penye
Ngoja subiria
Baby niheme niheme
Dereva wa moyo wangu
Usinipeleke puta puta (Puta)
Taratibu mwenzangu
Penzi njia yenye matuta (Tuta)
Amepinga nimepinga
Penzi hamwezi futa (Futa)
Nakula kwa raha zangu
Nyama mpaka mfupa (Fupa)

[Pre Chorus]
Kisura cha upole
Kama mama yangu (Talalala)
Unifunde kwa mkole
Uwe somo yangu (Talalala)
Huba tulisosomole
Chuzi kwa matandu (Talalala)
Nile bungo kwa kidole
Mambo chambu chambu
[Chorus]
Baby you make me
Ayee, ayee ayee!
You make me fall in love
Ayee, ayee ayee!
And I go tell my mama
Ayee, ayee ayee!
You make me fall in love
Ayee, ayee ayee!

[Verse 3]
Pole Dear Ex
Mwenzako nipo salama ee salama
Mambo ya mastress
Nishasahau izo zama eeh izo zama
Aku sizeeki
Nadekezekwa utadhani mwana ee mwana
Tena mchoyo akiombeki
Pendo sio lakugawana eeh gawana
Eeh penzi si lakudokoa doko (Ooh doko)
Nakula kwa kunyofoa nyofo (Ooh nyofo)
Kama embe nalipopoa popo (Ooh popo)
Huku tunajifotoa photo (Ooh photo)

[Chorus]
Kisura cha upole
Kama mama yangu (Talalala)
Unifunde kwa mkole
Uwe somo yangu (Talalala)
Huba tulisosomole
Chuzi kwa matandu (Talalala)
Nile bungo kwa kidole
Mambo chambu chambu
[Chorus]
Baby you make me
Ayee, ayee ayee!
You make me fall in love
Ayee, ayee ayee!
And I go tell my mama
Ayee, ayee ayee!
You make me fall in love
Ayee, ayee ayee!

[Outro]
(Kwa Mix Lizer)
Pole Dear Ex
Mwenzako nipo salama eee salama
Mambo ya mastress
Nishasahau hizo zama ee hizo zama
(Wasafi)

Comments

  • ×