Mbosso - Tamu

[Verse 1]
Aoh kasuku mwenye sauti nyororo
Mususu ya soro ndomboro
Na bandle letu la buku twaperuzi mpaka tomorrow
Mambo iko huku penzi twalila kwa solo
Mhh
Anipelekesha msobe msobe
Kama fuso lapanda mlima
Na nilivyo fundi kuchelewesha Kobe kobe
Simpi dusco nzima nzima (aah)

[Pre Chorus]
Mkoroge sumu mnywe wenye vijiba vya roho
Yatawatoka mapunye muumwe kwashakoo
Tena wavimbe na wanune ishakua yako
Itafune imung'unye ifike kunako

[Chorus]
Ooh baby nkikushika kiuno (tamu)
Nikuchu mchum (tamu)
Niki kukumbatia (tamu)
Tamu kolea
Penzi letu baby (Tamu)
Yaani mpaka kisogoni (tamu)
Tarara raa (tamu)
Tamu kolea
[Verse 2]
Baby tufanye wazi wazi watuone
Picha weka DP na makopa kopa caption
Baby walokosa kazi wanong'one
Wapandishe BP Wapumue kwa oxygen
Waambie vimberu mberu Sio penzi la mashaka
Tushasoma dua kusitirika kwa wenye macho ya paka
Wambiee Mimi beberu sio jogo la pasaka
Wanajisumbua kukunja ndita watazeeka haraka
Steel wire ananisugua (Kwa mapuvu povu)
Hanaga mbaya la azizi (show mbovu mbovu)
Tena fundi mwaya Kazi anaijua (My love love)
Haijawahi kupwaya yanikidhi

[Pre Chorus]
Mkoroge sumu mnywe wenye vijiba vya roho
Yatawatoka mapunye muumwe kwashakoo
Tena wavimbe na wanune ishakua yako
Itafune imung'unye ifike kunako

[Chorus]
Ooh baby nkikushika kiuno (tamu)
Nikuchu mchum (tamu)
Niki kukumbatia (tamu)
Tamu kolea
Penzi letu baby (Tamu)
Yaani mpaka kisogoni (tamu)
Tarara raa (tamu)
Tamu kolea
[Outro]
Ebo baby mtoto kakuwa (kasimama dede)
Nimtazame (Kasimama dede)
Mwana anatembea (Kasimama dede)
Yani tee tee Anataka aking'ate (Kasimama dede)
Kaona kitumbua (Kasimama dede)
Amekua baba (kasimama dede)
Yani tee tee tee

Comments

  • ×