Afro East Carnival - Tabata Shule

Hii Si Ya Kukosa @afroeastcarnival Historia Itaandikwa Na Kumbukumbu Zitabaki Kichwani mwa watu Milele Na Milele!! Ni #AFROEASTCARNIVAL Tarehe 5 March 2022 Kwenye Viwanja Vya TABATA SHULE 🏟
Jukwaa Moja Wasanii Kutoka Kila Pande Ya Africa 🇹🇿🇺🇬🇰🇪🇨🇩🇳🇬 kwa kiingilio cha tsh 10,000, 20,000, 50,000

#AfroEastCarnival #KondeMusic #TabataShule

Comments

  • ×