Longnus Huncho "LIVE: Introducing Bongotone T-Shirts & Caps! 🧢🔥🎶"

Wakali wa Bongotone, it's time to represent the movement! 🚀 Leo nawatambulisha rasmi bidhaa za kwanza za Bongotone—T-shirts na Caps!

👕🧢 Quality streetwear, inspired by the sound & culture!

Je, unataka kuwa sehemu ya hii revolution ya Bongotone?

Vipi kuhusu kuvaa style inayoakisi muziki na identity yetu?


🔥 Jiunge nami kwenye hii live session, tuzungumze kuhusu muziki, Bongotone lifestyle, na jinsi unavyoweza kupata bidhaa zako!

💬 Drop your thoughts & support the movement!
📩 DM to order!

#Bongotone #NewMerch #StreetwearVibes #SupportTheCulture #CreativeWave

Comments

  • ×